Wednesday, 22 April 2009

GARI LENYE BEI KUBWA KULIKO YOTE DUNIANIGARI HILI NDILO LENYE BEI KULIKO MAGARI YOTE DUNIANI, HATA KULIONA TUU, UTAWEZA KUJUA KWAMBA NI GARI MATATA.., LINAUZWA KWA HELA YA KIMAREKANI MILLION 8 dollars, NA KWA SHILLINGI YETU NI 10,925,139,120 ZAIDI YA BILLIONI KUMI.. KULIENDESHA HILI GARI. EMBU TUPATENI KOMENTI ZAIDI HAPO CHINI.

Monday, 20 April 2009

YOU WANT TO SELL YOUR CAR?


With this site, you can sell your car very easily on the internet. Just send some information via your e-mail address and sell it in less than 24hours guaranteed.

With only 3 steps, you can sit, relax and wait for your car to be sold.
  1. Send the following information to "zemagari@yahoo.co.uk"
  2. Send; Car make, Car model, Car year of make, Mileage, Telephone Number, E-mail Address, any important contact details.
  3. Within the e-mail, attach any Important Information you want the car buyer to know.

UNATAKA KUUZA GARI LAKO?

Katika tovuti hii, unaweza kuuza gari lako kirahisi sana kutumia mtandao. Cha kufanya ni kutuma taarifa kaza tu kwenye kipeperushi hapo chini na gari lako litatangazwa chini ya masaa 12 (kwa uhakika).

Kutuma njia tatu tuu, utakaa chini na kupumzika wakati gari lako linajiuza lenyewe.
  1. Tuma taarifa za gari lako kwenda "zemagari@yahoo.co.uk"
  2. Tuma; Jina la gari, Aina ya gari, mwaka wa gari, miles za gari, namba yako ya simu, kipeperushi chako, na taarifa nyingine ndogo ndogo.
  3. Katika kipeperushi chako, wekesha taarifa zozote ambazo unataka mnunuaji kujua.

CARS ON SALE / MAGARI YANAYOUZWA
60,244,000 shillings. RANGE ROVER SPORT 4.2 V8 SUPERCHARGED FIRST EDITION 5DOOR (MILANGO TANO) AUTOMATIC (AUTOMATIKI), ya mwaka 2005.

KAMA UMELIPENDA, NA UNATAKA KUONGELEA BEI ANDIKA KWENYE SEHEMU YA COMMENT HAPA CHINI, NA UTAJIBIWA.


15,000,000 shillings. TOYOTA RAV 4 2001, 1.8 ENGINE SIZE, ESTATE 3DOORS. PETROL, MANUAL. GARI NZURI NA INAVUTIA, KWA BEI CHE, KAMA UMEIPENDA TUMA KUTUMIA (zemagari@yahoo.co.uk).


NDIO KWANZA UNAANZA KAZI?, MTAMBO HUU WAKUKUPELEKA KAZINI KUKURUDISHA NYUMBANI, NA KUTOKA OUT. KWA BEI CHE TUU 13,000,000 UNAWEZA KULIINGIZA HILI GARI NYUMBANI KWAKO, HALINA TATIZO LOLOTE, KOMENT HAPO CHINI MASWALI UNAYOHITAJI 2000 MERCEDES-BENZ C CLASS C200 Classic Selection 4dr Automatic SaloonSASA, UNATAKA GARI LAKUKIMBIA?, LENYE NGUVU NYIA ZOTE ZA NCHINI, KIJIJINI, NA MAHALA KOKOTE KULE, CHUKUA KITU HICHI KWA MILLION 15, 15,000,000 BEI CHE KWA KITU CHA MAANA KILICHOENDA SHULE.. GARI HII NI 2002 02 Reg SUBARU Impreza 2.0 GX 4WD INAKILAKITU UNAHITAJI ULIZA MASWALI KWENYE KOMMENTI HAPO CHINI.